Saturday, March 15, 2014

Wakali wa Jumamosi hii

15th March 2014


@counsellorsalaah

@wemasepetu

@batuli_actress

@@elegant_mimi

@zarithebosslady

@chrismauki

@officiallulumichael


Tuonane kesho ....

Friday, March 14, 2014

Wakali wa Ijumaa hii 14th March 14

Follow these gorgeous pipo on instagram


@elegant_mimi
@officiallulumichael
@diamondplatnumz

@jokatem
@zamaradimketema
@hemedyphd

@ommydimpoz  

Tukutane tena kesho...

Wakali wa Tanzania

I like watu wanaojipenda na kupendeza.

Ukweli ni kwamba watanzania wengi mitaani kwetu hawapendezaji, sijui tatizo ni hela ama hawajui kuvaa ya kupendeza. Huku ndani ni kwa wale wakali wanaojipenda na kupendeza tu so kama haupo usinilaumu, fanya namna weka picha kali kwenye instagram yako kisha tag #mkali255.

Kwani kuna shida?