Saturday, March 22, 2014

Wabunge wanaume waonyesha ubabe Kenya

 

Je ni lazima mwanamume kuomba ruhusa ili kuoa mke wa pili? 

Bunge la Kenya lenye wabunge wengi wanaume limeidhinisha mageuzi yenye utata katika mswada wa ndoa ambayo yatawapa wanaume usemi zaidi katika familia na uhusiano mwingine katika jamii.
Wabunge wanaume waliungana kupitisha mageuzi hayo ambayo yataathiri pakubwa familia kwa ujumla