I like watu wanaojipenda na kupendeza.
Ukweli ni kwamba watanzania wengi mitaani kwetu hawapendezaji, sijui tatizo ni hela ama hawajui kuvaa ya kupendeza. Huku ndani ni kwa wale wakali wanaojipenda na kupendeza tu so kama haupo usinilaumu, fanya namna weka picha kali kwenye instagram yako kisha tag #mkali255.
Kwani kuna shida?
Uko sawa mnoooo @trukibonge
ReplyDelete