Tuesday, September 30, 2014

Takwimu za Social Media za Mastaa wetu wa bongo juma la mwisho la Septemba


Umuhimu wa (Social Media Statistics) takwimu kwa ma Superstar ni kutoa changamoto ya kufanya zaidi. Jinsi unavyo jituma na wananchi wanarudisha upendo na kutaka kusikia zaidi kutoka kwako.

Hii ni nzuri hasa pale unapotoa kazi mpya au una event fulani, wapenzi wako wengi unapata ujumbe kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.

Big up kwa wale wote mliofanya vizuri hadi kufikia leo. Statistics zitakua zinakuja kwako kila Mwisho wa juma.

Na incase unataka kujiongeza na utahitaji msaada basi wasiana na hawa jamaa wa info@edgars.co.tz

1 comment: