1. Rais Kikwete leo Ndani ya Bunge la katiba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa Kanuni 7(1)g na Kanuni 75(1) la ya Kanuni za Bunge Maalum. Picha kwa hisani ya IKULU.
2. Ray C abambwa Hospitali ya M'Nyamala
Mwimbaji Ray C maarufu "Kiuno Bila Mfupa" akielekea kwenye gari lake mara baada ya kupata dozi yake ya dawa ya kuondoa sumu ya madawa ya kulevya
Kikosi
Kazi cha Global Publishers, kimefanikisha zoezi la kumnasa laivu Mbongo-Fleva,
Rehema Chalamila ‘Ray C’, akizama na kuchukua dozi ya dawa za kuondoa sumu ya
madawa ya kulevya ‘unga’ mwilini iitwayo dawa aina ya Methadone , Amani lina
tukio kamili.
Kazi hiyo nyingine nzuri kwa OFM
ilifanyika juzi (Jumanne), majira ya saa 3:30 asubuhi ndani ya Hospitali ya
Mwananyamala jijini Dar ambapo staa huyo almaarufu Kiuno Bila Mfupa alifika
eneo hilo kwa ajili ya kuchukua dozi hiyo.3.Updates of missing Malaysia Airline

"The
Malaysian prime minister has confirmed that there is a new lead in the
investigation into the missing Malaysia Airlines flight MH370.
Australian
search aircraft are investigating two objects spotted by satellite floating in
the southern Indian Ocean that could be debris from a Malaysian jetliner
missing with 239 people on board, Prime Minister Tony Abbott said on Thursday.
"I can
confirm we have a new lead," Malaysian Transport Minister Hishammuddin Hussein
told reporters in Kuala Lumpur, where the investigation into the missing
airliner is based.
"I am
meeting the Australian delegation now," he added. We are waiting for some
information."
No comments:
Post a Comment