Kuwa featured humu kwenye blog yetu ni rahisi sana
1. Piga picha ukiwa umependeza/ uplod picha yako kali kwenye instagram kisha
2. Tag @top_7_kali_daily or #mkali255 kwenye comment za picha yako
3. Sisi tutaipata na kuihakiki na kisha kuipitisha.
4. Endelea kufanya hivyo daily, nasi tutaku'follow na kukuweka humu kadri unavyostahili.
Simple Eeeh YES.!
No comments:
Post a Comment